Hivi inakuaje mtu unashabikia Simba au Yanga au mpira wa Tanzania Kwa ujumla?

Naona kama watu wanashabikiaga uchafu
Kweli mkuu kama juzi timu ya Taifa yani hatujui kucheza mpira kabisa yani na tatizo lilipo hatujui kama hatujui kucheza mpira, kwenye hii inch Reform inatakiwa kila sekta, Michezo aendekezwi kwa kugawa pesa kwenye timu ila Michezo inakuzwa kwa kuwekeza na siyo kugawa pesa hovyo bila Akili. Yani hatujui kucheza mpira kabisa, Mimi ningekua Raisi Wa nchi ningeweka Bajeti kila Mkoa pajengwe Shule ya Michezo pamoja na Elimu na Walimu wa Michezo wangeka nje ya nchi ili kuja kutufundisha Michezo kwa Watoto wetu, Walimu wa football, Riadha, Bondia, Basketball, wote ningewatoa Ulaya.
 
Wewe ni shabiki maandazi tu na kujiona una akili kumbe kilaza. Kila nchi hapa duniani kuna klabu zinashabikiwa na wazawa na zingine ni za hovyo kuliko Simba na yanga. Ni kawaida , ni kama vile unakuwa automatically shabiki wa timu ya mtaani au kijijini kwenu ambayo unashabikia bila kujali miundo mbinu.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Aisee mpira wa Tanzania nauona kama takataka na na ubaya wa viwanja naona kama ukiwa mshabiki wa hizi timu kichwani lazima nyuzi ziwe zimetoka kiufupi Mimi ni mpenzi wa football inayoeleweka na timu zangu Liverpool na Barcelona tu
Hata Mimi nashangaa mtu unakuwaje Shabiki wa mpira ? maana ukiwa mshabiki wa mpira automatically lazima uwe na upungufu wa akili imagine unateseka na kitu ambacho huwezi kukiControl , wewe unatumia Shabiki maandazi wachezaje wanacheka na kula mshahara , unapigana na kubishana kijinga kisa mpira nk
 
Kwangu mimi nakudharau sana ukishakuwa mshabiki
 
Aisee mpira wa Tanzania nauona kama takataka na na ubaya wa viwanja naona kama ukiwa mshabiki wa hizi timu kichwani lazima nyuzi ziwe zimetoka kiufupi Mimi ni mpenzi wa football inayoeleweka na timu zangu Liverpool na Barcelona tu

Yeyote anayeshabikia mpira, kichwani haupo sawa. Kwahiyo hata wewe haupo sawa
 
Mimi nadhani kila mtu awe na uhuru wa kuchagua kile kitu anakipenda maishani mwake. Wazungu wanatumia neno "hobby/ hobbies". Na ni ukweli kila mtu ana hobby yake.
Wewe wakati unamshangaa mwenzako kupenda sana kuangalia/kushabikia mpira, na yeye pia anakushangaa namna unavyopenda kuangalia cartoon kama mtoto wa kindergaten.
 
We unaangaliaga cartoon?
 
Aisee mpira wa Tanzania nauona kama takataka na na ubaya wa viwanja naona kama ukiwa mshabiki wa hizi timu kichwani lazima nyuzi ziwe zimetoka kiufupi Mimi ni mpenzi wa football inayoeleweka na timu zangu Liverpool na Barcelona tu
Hivi inakuaje unashabikia Liverpool na Barcelona!?
 
Hata Mimi nashangaa mtu unakuwaje Shabiki wa mpira ? maana ukiwa mshabiki wa mpira automatically lazima uwe na upungufu wa akili imagine unateseka na kitu ambacho huwezi kukiControl , wewe unatumia Shabiki maandazi wachezaje wanacheka na kula mshahara , unapigana na kubishana kijinga kisa mpira nk
Ila kushabikia Iran na Palestina ni sawa kabisa kwani huteseki na unaweza kuwarekebisha.
 
Back
Top Bottom