Kwahiyo ukiwa unatafuta mirupo akaja dume lenzako unafumba macho?Ukiwa JF, jinsia yako sio suala la muhimu...
Kwahiyo ukiwa unatafuta mirupo akaja dume lenzako unafumba macho?
Unamwongelea huyu? [emoji4]View attachment 1911391
Ipo kwenye kifungu gani cha sheria?Hapana Mkuu marehemu huwa hasemwi
Kwamba marehemu akishakufa na matendo yake yote yanageuka kuwa mema sioNi mila na desturi za kitanzania
Kuna baadhi ya sehemu za kuweka magari kwa muda(kupark) wameandika Park for your own riskKwahiyo ukiwa unatafuta mirupo akaja dume lenzako unafumba macho?
Kwani wewe ni jinsia gani?Hili jambo linanisikitisha sana, pamoja na watu kutumia ID fake inakuaje bado wanakuwa na wasiwasi hadi wanajivisha jinsia zisizokuwa zao?
Kidume kabisa kinatumia ID fake lakini bado kinajivisha jinsia ya kike. Kuna wakati utakuja upate tatizo na ukahitaji members wakusaidie unakuja tambulishwa ni mkaka au mdada na huku ulituaminisha wewe ni mdada au vinginevyo hakutakuwa na wa kukuamini.
Siwaingilii haki zenu lakini i find it to be strange aisee.
Mtu anaandika kike kike na kujitamburisha kama mwanamke hadi mnakula pesa zetu tunahisi tumeopoa mirupo kumbe vidume bwana.(utani) lakini haipendezi kabisa japo siwapangii maisha.
Basi sawa, ngoja nikamsaidie wifi yako kuogesha watoto.Wewe tu jinsia yako huijui unaanzaje kuulizia ya kwangu, kaogeshe watoto kwanza