Hivi inakuaje Mwanamme unajivisha Jinsia ya kike?

Hivi inakuaje Mwanamme unajivisha Jinsia ya kike?

Dionize N

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
1,848
Reaction score
3,293
Hili jambo linanisikitisha sana, pamoja na watu kutumia ID fake inakuaje bado wanakuwa na wasiwasi hadi wanajivisha jinsia zisizokuwa zao?

Kidume kabisa kinatumia ID fake lakini bado kinajivisha jinsia ya kike. Kuna wakati utakuja upate tatizo na ukahitaji members wakusaidie unakuja tambulishwa ni mkaka au mdada na huku ulituaminisha wewe ni mdada au vinginevyo hakutakuwa na wa kukuamini.

Siwaingilii haki zenu lakini i find it to be strange aisee. Mtu anaandika kike kike na kujitamburisha kama mwanamke hadi mnakula pesa zetu tunahisi tumeopoa mirupo kumbe vidume bwana.(utani) lakini haipendezi kabisa japo siwapangii maisha.
 
Unamwongelea huyu? 😊
Screenshot_20210827-180847.png
 
Da hadi mm nipo kweny mshngao ktka hlo. Mana ya kike ilivyokuw tamu half m2 anaitoa ya kiume dooo
 
Kwahiyo ukiwa unatafuta mirupo akaja dume lenzako unafumba macho?
Kuna baadhi ya sehemu za kuweka magari kwa muda(kupark) wameandika Park for your own risk

Sasa ukitaka kuopoa, opoa for your own risk, bila kutingisha hali zetu za anonymity
 
Hili jambo linanisikitisha sana, pamoja na watu kutumia ID fake inakuaje bado wanakuwa na wasiwasi hadi wanajivisha jinsia zisizokuwa zao?

Kidume kabisa kinatumia ID fake lakini bado kinajivisha jinsia ya kike. Kuna wakati utakuja upate tatizo na ukahitaji members wakusaidie unakuja tambulishwa ni mkaka au mdada na huku ulituaminisha wewe ni mdada au vinginevyo hakutakuwa na wa kukuamini.

Siwaingilii haki zenu lakini i find it to be strange aisee.
Mtu anaandika kike kike na kujitamburisha kama mwanamke hadi mnakula pesa zetu tunahisi tumeopoa mirupo kumbe vidume bwana.(utani) lakini haipendezi kabisa japo siwapangii maisha.
Kwani wewe ni jinsia gani?

Tuanzie hapo kwanza
 
Haikeri sana jike kujifanya dume ila inakera sana dume kujishape kijikejike kama alivyokuwa mwendazake wa umbea
 
Wewe tu jinsia yako huijui unaanzaje kuulizia ya kwangu, kaogeshe watoto kwanza
Basi sawa, ngoja nikamsaidie wifi yako kuogesha watoto.

Ni wajibu wetu wanaume kusaidia wake zetu...
 
Back
Top Bottom