Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya ukimwi, kinachoninikera sio kuajiri waalimu kinachikera ni majungu na unafiki kwa hao waalimu! Inakera.