Hivi inakuaje shirika la Afya linaajiri waalimu kudeal na mambo ya Afya? ( client tracking)

Hivi inakuaje shirika la Afya linaajiri waalimu kudeal na mambo ya Afya? ( client tracking)

Ukimwi ni suala mtambuka Kila kada wanajifunza hili swala katika kozi zao.

Usilete umaamuma wako na chuki zako dhidi ya walimu hao wasomi wa level mbali mbali

Hata wakiungaunga still wanabaki kuwa wasomi coz wamekaa class wamefaulu na kua awarded vyeti.

Jitambue.
 
Hili lichunguzwe haraka , kuna madhara makubwa kumpa mtu kazi isiyo ya taaluma yake kama unavyosema kuwa hakuna usiri kuna dalili zote za matokeo mabaya muda si mrefu.
 
Bora hilo linaajili angalau walimu wamesoma lakini kuna kashirika kule iringa kuna jamaa sijui kama hata darasa la saba alimaliza lakini ukienda hapo hosptal unakuta kajamaa kamekaa na zile HIV test kits kanapima wateja kabla ya kuingia kwa mganga. Nilijiuliza sana sikupata jibu kwasababu kama ni hivyo hapohapo kijijini kuna manesi,watu wa famasia na hao walimu pia lakini ndyo kwanza utawakuta shambani.

Wanasema tatizo nyota sijui ni Kweli?
 
Back
Top Bottom