Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Waalimu kwa asili ni watu wa majungu😅sababu ya elimu ya kuungaunga kwa wengi wao,pia wanapenda kudandia Sana fani zisizowahusu ilhali walikimbia masomo yatoayo hizo kazi.Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya ukimwi, kinachoninikera sio kuajiri waalimu kinachikera ni majungu na unafiki kwa hao waalimu! Inakera.
Ongeza na mengine moyo wako uburudike.Waalimu kwa asili ni watu wa majungu😅sababu ya elimu ya kuungaunga kwa wengi wao,pia wanapenda kudandia Sana fani zisizowahusu ilhali walikimbia masomo yatoayo hizo kazi.
Hahahah nimekugusa?sorryOngeza na mengine moyo wako uburudike.
Hujanigusa mkuu, ila naona kama Ego inakusumbua.Hahahah nimekugusa?sorry
Bora hilo linaajili angalau walimu wamesoma lakini kuna kashirika kule iringa kuna jamaa sijui kama hata darasa la saba alimaliza lakini ukienda hapo hosptal unakuta kajamaa kamekaa na zile HIV test kits kanapima wateja kabla ya kuingia kwa mganga. Nilijiuliza sana sikupata jibu kwasababu kama ni hivyo hapohapo kijijini kuna manesi,watu wa famasia na hao walimu pia lakini ndyo kwanza utawakuta shambani.Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya ukimwi, kinachoninikera sio kuajiri waalimu kinachikera ni majungu na unafiki kwa hao waalimu! Inakera.
Dada usipende kuendekeza chuki zisizo na sababu hapo unaweza kuta umehifadhiwa pengine kwa dada ako unavimbisha tako tu kuongea diss kwa walimu huna hata credit ya civics unajikutaaaa acha hizo dada anguWaalimu kwa asili ni watu wa majungu[emoji28]sababu ya elimu ya kuungaunga kwa wengi wao,pia wanapenda kudandia Sana fani zisizowahusu ilhali walikimbia masomo yatoayo hizo kazi.
Omba msamaha yaisheWaalimu kwa asili ni watu wa majungu😅sababu ya elimu ya kuungaunga kwa wengi wao,pia wanapenda kudandia Sana fani zisizowahusu ilhali walikimbia masomo yatoayo hizo kazi.
Ahahah credit ya civics? you wish,geezDada usipende kuendekeza chuki zisizo na sababu hapo unaweza kuta umehifadhiwa pengine kwa dada ako unavimbisha tako tu kuongea diss kwa walimu huna hata credit ya civics unajikutaaaa acha hizo dada angu
Ukweli sikuzote huuma🏊Omba msamaha yaishe
Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya ukimwi, kinachoninikera sio kuajiri waalimu kinachikera ni majungu na unafiki kwa hao waalimu! Inakera.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] fallacy to ganerallization, Siyo waalimu wote ni vilaza Kama unavofikiri,[emoji1787]Waalimu kwa asili ni watu wa majungu[emoji28]sababu ya elimu ya kuungaunga kwa wengi wao,pia wanapenda kudandia Sana fani zisizowahusu ilhali walikimbia masomo yatoayo hizo kazi.
Mwanaume unakerwa ?Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya ukimwi, kinachoninikera sio kuajiri waalimu kinachikera ni majungu na unafiki kwa hao waalimu! Inakera.
😛😛[emoji1787][emoji1787][emoji1787] fallacy to ganerallization, Siyo waalimu wote ni vilaza Kama unavofikiri,[emoji1787]
Everyone is genius, but if you judge a fish by its ability to climb up a tree, it will take all of your life believing it is stupid.
Mimi ni mwalimu, with colorful academic performance records from secondary School to postgraduate level.[emoji1241]
Tatizo lenu ni dharau,ukitaka ubishi ntakuwekea academic transcripts zangu uone kama hiyo kauli ni valid
🥳🥳🥳Nayo hiyo ni ajira yakuhitaji specialist..?
Manina zenu badala mjiajiri mmetegesha makalio nyumban kwa shemej zenu mnaonea wivu vijana wenzenu wakipata part-time job...
Key point ni wengi wao 🙏wewe ni miongoni mwa "the remaining wachache.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] fallacy to ganerallization, Siyo waalimu wote ni vilaza Kama unavofikiri,[emoji1787]
Everyone is genius, but if you judge a fish by its ability to climb up a tree, it will take all of your life believing it is stupid.
Mimi ni mwalimu, with colorful academic performance records from secondary School to postgraduate level.[emoji1241]
Tatizo lenu ni dharau,ukitaka ubishi ntakuwekea academic transcripts zangu uone kama hiyo kauli ni valid