Bora hilo linaajili angalau walimu wamesoma lakini kuna kashirika kule iringa kuna jamaa sijui kama hata darasa la saba alimaliza lakini ukienda hapo hosptal unakuta kajamaa kamekaa na zile HIV test kits kanapima wateja kabla ya kuingia kwa mganga. Nilijiuliza sana sikupata jibu kwasababu kama ni hivyo hapohapo kijijini kuna manesi,watu wa famasia na hao walimu pia lakini ndyo kwanza utawakuta shambani.