Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe na kuvuta sigara?

Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe na kuvuta sigara?

Habari!
Sina maelezo mengi.
Naomba tu kuuliza . Inakuwaje kijana anakunywa pombe na wengine huvuta na sigara juu?
Wengi wameathiriwa na mazingira, yaani kwa kuiga wanaofanya hayo

Halafu wanaona siiifa [emoji23]
 
Ujinga wa walokole huuu.

Fuatilieni maisha yenu mafala nyie. Mbona si tukiwa Bar hatuwasemi!!?

If you can't change them, Join them.
 
Asiye na Dhambi Ampige mawe mlevi na mvuta sigara anayenukana mdomo😚
 
Acha kufatilia lifestyle ya watu, we mwenyewe kuna vitu unafanya vya kipuuzi bora hata anaedrink na kusmoke.
 
Nashukuru ujana huu ulinipita kushoto, kampani yangu wengi walikuwa ni walevi, ila mie nikifika club ni mwendo wa bavaria tu, kucheza muziki na kutizama wapi mchuchu alipo.. Hii niliwekaga nadhiri sintakuja kuwa mnywa pombe toka utotoni

Kuhusu sigara, siwezi sema saana, sijavuta lakini nilikuwa mvuta ile ya kina bob marley, hii nahisi ni vile mwenyewe nilikuwa natamani, niliamua kujaribu, nikaona fresh nikaendelea nayo

Nashukuru Mungu VYOOOTE(wachuchuzi, kwenda club na mabar, pamoja ma SIGARA BWEGE) nilifanikiwa kuacha kabisa.
 
Mambo yao waachie wenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Back
Top Bottom