Nashukuru ujana huu ulinipita kushoto, kampani yangu wengi walikuwa ni walevi, ila mie nikifika club ni mwendo wa bavaria tu, kucheza muziki na kutizama wapi mchuchu alipo.. Hii niliwekaga nadhiri sintakuja kuwa mnywa pombe toka utotoni
Kuhusu sigara, siwezi sema saana, sijavuta lakini nilikuwa mvuta ile ya kina bob marley, hii nahisi ni vile mwenyewe nilikuwa natamani, niliamua kujaribu, nikaona fresh nikaendelea nayo
Nashukuru Mungu VYOOOTE(wachuchuzi, kwenda club na mabar, pamoja ma SIGARA BWEGE) nilifanikiwa kuacha kabisa.