ENOCK TUTU
Member
- Apr 2, 2012
- 9
- 1
wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu sana mwana kakumiss mbaya,ngoja nimstue anakuja sasa hivi.ningependa kujua hivi kwa mabinti hili lina kuwaje wanafichiana uovu au akuna kitu ka hicho!
kama ilivyo kwa masela ndivyo ilivyo kwa madadadu tena wao ndio wabaya ile mbaya usipime..
Tena hao ni balaa kweli wakati nilipo kuwa msaidizi wa firauni, nilikuwa nikitaka mwanamke na mwambia rafiki yake wa kike huwezi kuamini siku ile ile navuliwa chupi...Kama humuamini tafuteni mwanamke ambaye ana wazungusheni, mpitie njia ya rafiki yake mtanipa jibu.kama ilivyo kwa masela ndivyo ilivyo kwa madadadu tena wao ndio wabaya ile mbaya usipime..
Tena hao ni balaa kweli wakati nilipo kuwa msaidizi wa firauni, nilikuwa nikitaka mwanamke na mwambia rafiki yake wa kike huwezi kuamini siku ile ile navuliwa chupi...Kama humuamini tafuteni mwanamke ambaye ana wazungusheni, mpitie njia ya rafiki yake mtanipa jibu.
BTW wanawake hata mtu na dada yake wana siri, anaweza kukutongozea dada yake, kama anakupenda wana siri kali hao :A S shade: