ENOCK TUTU
Member
- Apr 2, 2012
- 9
- 1
wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu sana mwana kakumiss mbaya,ngoja nimstue anakuja sasa hivi.ningependa kujua hivi kwa mabinti hili lina kuwaje wanafichiana uovu au akuna kitu ka hicho!