Hivi inakuwaje magoli kipa kwa style hii hata mbavu aiteguki.

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu Habari zenu?

Hivi kuna science gani mpaka goli kipa asiumie unakuta anaufata mpira kule apotagia ndege lakini na akitua yuko vizuri tu ,anaendelea na mchezo kama kawaida,sijawahi kusikia golikipa alipigiwa shuti karifata juu kaumia.

wewe sasa ukijirusha bila mpira lazima uvunje mbavu au aogope kuruka kabisa.

Hivi kuna science gani kwenye hilo?


















Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe ni mme au mke?

Ikiwa ni mume! Inakuweje dushee haivunjiki hata kama imekaliwa.

Ni mazoezi tu na utayari wa mwili.
 
Mkuu inaonekana hata chandimu hujacheza wewe. Kule unacheza nafasi zote. Kuna moja inaitwa "keeper na beki". Unacheza ndani na ukifika golini unadaka kabisa.

Sent using my Nokia Torch
 
Yaani iko hivi ayo ni mazoezi, wanapiga mazowezi mpaka viungo vinazoea. Sema akikosea jinsi ya kuanguka chini baada ya kuruka ndo huenda akaumia
 
Mkuu inaonekana hata chandimu hujacheza wewe. Kule unacheza nafasi zote. Kuna moja inaitwa "keeper na beki". Unacheza ndani na ukifika golini unadaka kabisa.

Sent using my Nokia Torch
[emoji23] kabisa kabisa

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kati ya wachezaji wote, magolikipa ndio wana mazoezi makali sana. Ni lazima wawe na mnyumbuliko mkubwa.
 
Wakati wanatua hawaanzi kutulia mbavu, either uanze mguu or mkono then mwili ndio unafata, nilishakuwa kipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…