Msemaji wa club moja kongwe akiponda usajili wa Saidoo,alibeza uwezo wa mchezaji huyo na kusema Simba hakuna walichosajili na mchezaji huyo akifikisha hata goli 5 tu huyo msemaji aitwe ashura ma UTI.
Kwa mshangao tu mechi ya kwanza ana goli 3. Bado goli 2 tu. Sasa anaona tunachelewa kumuita hili jina ameshawatungia simba jina na analisambaza ili tukumbuke jina lake jipya pia.
Nachojiuliza tu,kwa nini huyu mtoto wa kiume anajiita asha tena kama haitoshi ma UTI! Je huenda kuna wanaume huwanapata fantasy mkisikia harufu mbaya? Na kwa hiyo anawavutia?
Ndio maana msemaji wao Manara alisema watu wa yanga,hapo walipo wamejaa vinyesi kwenye nguo zao za ndani,sisi ni nani tusiiamini?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app