Hivi inakuwaje msemaji wa club anajiita Ashura ma UTI?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Msemaji wa club moja kongwe akiponda usajili wa Saidoo,alibeza uwezo wa mchezaji huyo na kusema Simba hakuna walichosajili na mchezaji huyo akifikisha hata goli 5 tu huyo msemaji aitwe ashura ma UTI.

Kwa mshangao tu mechi ya kwanza ana goli 3. Bado goli 2 tu. Sasa anaona tunachelewa kumuita hili jina ameshawatungia simba jina na analisambaza ili tukumbuke jina lake jipya pia.

Nachojiuliza tu,kwa nini huyu mtoto wa kiume anajiita asha tena kama haitoshi ma UTI! Je huenda kuna wanaume huwanapata fantasy mkisikia harufu mbaya? Na kwa hiyo anawavutia?

Ndio maana msemaji wao Manara alisema watu wa yanga,hapo walipo wamejaa vinyesi kwenye nguo zao za ndani,sisi ni nani tusiiamini?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Msemaji wa club moja kongwe akiponda usajili wa Saidoo,alibeza uwezo wa mchezaji huyo na kusema Simba hakuna walichosajili na mchezaji huyo akifikisha hata goli 5 tu huyo msemaji aitwe asha ma UTI.

Jiunge na wenzako hapa
JamiiForums-912427097_480x360.jpg
 
Anatangaza biashara yake bila hivyo mtajuaje kuwa anatoa 0713?
 
Halafu hilo jina wanalipenda kuitwa wasemaji wote wawili, yule aliefungiwa na TFF pamoja huyo mpya wote wanapenda kuitwa Ashura.

Ila walichozidiana ni mmoja ana UTI sugu.
 
Wana vimelea vya jinsia ya tatu
 
Back
Top Bottom