dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,499
- 2,667
Ilikuwa ujanani hukoo, sasa hivi nakula mafao Sina mambo mobHukutoka thus why ulitaka tena, sema ego yako tu 😂😂
Na nna uhakika ipo siku utarudi tupinge?? 😹
Mahi 😂😂
Hahahhaha aiseeeGreat sex ya nyokweee [emoji23][emoji23]
Ww ndio ulihisi umemuweza kumbe mwenzio alichokusudia hakukikuta.. POLE
Ila usiumie sana hata huku kuna baharia kapotezewa anapiga simu hovyo kwa manzi wake analalamika..!! Kisa cha kupotezawa ana poumbou ndefu kuliko mjegeje!!
Konde boi ko mi namba wani baaakhresaaa.Darassa ft harmonizi - mazoea ili song tamu ukiwa umetoka kuachwa weka repeat
Demu kama hilo kwangu mimi muandiko wake tu unatosha kabisa kuwa sababu ya kumchoka.Hakuna wa kuwa karibu nawe milele. Jifunze kuishi bila wao.
Nipo Sanaa ......Hii ID kumbe ipo
Long time aseee
Huko kanda ya ziwa nilikuta mtu anaitwa thorong'ong'o means jitu kubwa kweli kweli yenye minguvu yake ila hii naona ni torong'ong'oHii ID kumbe ipo
Long time aseee
Sababu ni nyingi kulingana na wahusika lakini mara nyingi ni kuwa na malengo ya muda mfupi (kashatimiza haja yake).Hivi inakuaje ume-meet na a person mna connection nzuri and mka have a good time and great sex .
Then all of a sudden kesho yake hakutafuti tena na hata ukimtafuta anakuwa amebadilika yani ile energy yake sio kama ya the first day alivyokuona.