Hivi inakuwaje mtu unashabikia CCM?

Hivi inakuaje mtu unashabikia Chadema? Yaani ku act uhuni ndo manufaa??? Nishabikie kuchoma infrastructure ambazo kuna uwezekano wa kuja kutumiwa na kizazi changu chote ndo ujanja?

Hivi nyinyi nyumbu huwa mnajiona mna akili sanaaa????
WE CHAWA TUU..
 
Ni zaidi ya ajira mkuu, wengi wana ajira za serikali ila hawafurahishwi na namna nchi inaenda. Kuna kitu cha ziada wanapata zaidi ya hizi TGS scale !!
Wanasema TRUTH is stranger than fiction.

Me nakuambia hata huyo Lucy Mshambwa utakuta halipwi hata mia, hajulikani hata na mwenyekiti wa serikali za mitaa, basi tu mradi na yeye yuko kwenye harakati asikae bure hapa duniani. Yani Niamini.

Anaona tu raha kuanzisha controversies na kukoroga hisia za watu, kuwachezesha watu sebene na wao wanakubali kulicheza. Na Kujizoelea umaarufu uchwara basi.

Huku uraiani wengi wanachopata ni mishahara, per diems, kama wanahusika namna fulani na budget na manunuzi basi wanaongeza wanapiga vya juu basi. Nothing more at all.

Wakijilinganisha na wauza viatu huku ambao ndo wengi kuliko wao huko, wanajiona wamepatia maisha, wana akili sana. Wana bidii sana ya kazi watu wengine ni wavivu, ndo kuja kuwa motivational speaker huku.

Na ni spirit pia, mambo mengine tukikata kuyaelewa kutumia akili za kawaida hatutoelewa kamwe. They're just evil people.

"Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue."
Methali.29.7.SUV
 
Idadi kubwa inayoshabikia CCM au serikali inatoka katika haya makundi.

1. Wafanyakazi wa serikali, walimu, madakatari, wanajeshi, polisi, wote waliochini ya payroll ya serikali.

2. Waisilamu wanaongozwa na BAKWATA

3. Vijana waliokimbia shule hasahasa mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Pwani, Dodoma.

4. Wafanyabiasha wanaotegemea deal za rushwa serikalini.

5. Wasanii wa bongo fleva na midada ya mjini inayotegemea kudanga kupata chochote kitu.

6. Kundi kubwa la wazee, miaka kuanzia 55 kwenda mbele. Hawa wengi akili zao zilishavurugwa na propaganda za CCM kwa miaka na miaka.
 
Machawa mengi hasa haya mapimbi ya humu yanalipwa buku7 na free wi-fe tu

Piga hesabu kwa mwezi
7000×30=?!
 
Inakuwa hivyo kwa vile ni mashetani
 
CCM ni maisha yetu yakila siku, CCM ni chama cha kizalendo si chama cha mabeberu
 
Sawa Mkuu sisi wasomi tumekuelewa tutaufanyia kazi ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…