mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Dec 5, 2016 #1 - nguo za kubadili - pad ya emergence - chupi -mswaki - mafuta - perform, - chanuo, -hereni za kuvalia nguo aliyobeba, - lipsticks N.k But Hana nauli ya kurudia kwao Wadada eee
- nguo za kubadili - pad ya emergence - chupi -mswaki - mafuta - perform, - chanuo, -hereni za kuvalia nguo aliyobeba, - lipsticks N.k But Hana nauli ya kurudia kwao Wadada eee
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,813 Reaction score 1,827 Dec 5, 2016 #2 Vitu si anavyo tayari? Nauli mpaka atafute hawezi kuwa nayo muda wote. Labda useme vitu alivyokuja navyo ni vipya kabisa havijatumika
Vitu si anavyo tayari? Nauli mpaka atafute hawezi kuwa nayo muda wote. Labda useme vitu alivyokuja navyo ni vipya kabisa havijatumika