Hivi inakuwaje unamwalika mdada kwako anabeba vitu vyoote hivi isipokuwa nauli?

Hivi inakuwaje unamwalika mdada kwako anabeba vitu vyoote hivi isipokuwa nauli?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
- nguo za kubadili
- pad ya emergence
- chupi
-mswaki
- mafuta
- perform,
- chanuo,
-hereni za kuvalia nguo aliyobeba,
- lipsticks
N.k
But
Hana nauli ya kurudia kwao
Wadada eee
 
Vitu si anavyo tayari? Nauli mpaka atafute hawezi kuwa nayo muda wote. Labda useme vitu alivyokuja navyo ni vipya kabisa havijatumika
 
Back
Top Bottom