Hivi inakuwaje Viktor Gyokeres kukosa top 30 ya ballon d'or. Hawa jamaa wanatumia criteria zipi kuchagua washindani?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715



Tuliposhangaa na kuhoji kwa nini Messi ashinde ballon d'or dhidi ya Halaand, vijana wa Messi walirusha mawe sana,

Anyway maisha ya soka yaendelee.
 
Ameangaliwa mara ngapi kwenye michuano mikubwa.

Ametajwa mara ngapi midomoni mwa watu
 
Now thats politics
Lookman - yupo kwenye list, sababu moja kuu ya kuwepo kwake kwa mtazamo wangu ni kuibuka mfungaji bora wa fainali kwa kombe la europa.

Nakumbuka alifunga hatrick dhidi ya leverkusen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…