Hivi inakuwaje?

Hivi inakuwaje?

Kama wanga vile....
Na ndiyo maana haijalishi unatoka Mara ngapi lakini kucheck afya ni lazima.
 
Mtu anajua ana ugonjwa wa UKIMWI lakini hakuambii mwishoe na wewe unapata hivi nini kinasababisha haya??

Uzi tayari
Hata akikuambia hutaamini kama ni pisi ya kwenda utalazaimisha utamwambia unaweka kichwa tu, mwisho unaliwa,
 
Back
Top Bottom