Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sera ya faragha hiyo ni nzuri na tunaijua tuliokoswa koswaWengi bado wanapima kwa macho mkuu nikiwa kijana mdogo nilishakoswakoswa mpaka leo nina nidhamu ya hali ya juu, sera yangu ni mimi kwanza mbele ,halafu ndio upwiru unafuata.
Kujitoa ufahamu kama hivi ndiyo kumekufanya leo unameza njugu.Mola ndo nani huyo?
Umejuaje nameza? hujielewiKujitoa ufahamu kama hivi ndiyo kumekufanya leo unameza njugu.
mbona wengine wanashinda kanisani lakini wanao? Au umekurupuka tu kujibuUmejuaje nameza? hujielewi
Anaona bora na wengine wapate asiugue peke yakeWengine wanaripiza kisasi wanajiachia unasema umeokota dodo kumbe unaenda kuwaka,
Unasema heri ukimwi umeze vidonge maisha Yako yote?!haya magonjwa tunaweza kuchukua tahadhariHeri kuwa na ukimwi mara 100 mkuu, kuliko kisukari au kupararazi mkuu ...hapa nauguza mgonjwa aliyepararazii aiseé mateso anayopitiaa na maumivu yake c poa ...
Ni huzunii
Sukari na figo haviambukizwi kwa njia ya michezo mitamu labdaHIV imepaishwa sana sijui kwanini....🙄
Kuna magonjwa hatari kama figo na sukari hazisemwi kabisa.
Unayeamini ana nguvu juu ya kila kituMola ndo nani huyo?