Habari za wakati huu wakuu wangu!ebana wiki iliyopita nilitoka na dame mmoja hvi,asa kutokana na mazingra niliyokutana na huyo gal,iliniwia ngumu kukumbuka suala la zana {condom},coz nilimtembelea rum kwao na bahat nzur alikua mwenyewe,so me nkaona nijisevie fasta fasta kabla ya wenzake hawajaja..asa leo kanitumia ujumbe eti anahis amenasa mimba,me nkajua anatania,bt amesisitza kwamba ni kweli ana mimba na lazima itakua ni yangu.sasa wakuu najiuliza,hvi mwanamke anaweza kuhis ana mimba within a week au ndo anataka kunishikisha?
hii ni mara ya pili tuna do.
sasa kama ni mara ya pili, unashangaa nn? labda kama iliingia mara mlipo do mara ya kwanza ila kama ni hiyo mara ya mwisho, hapo unaibiwa. mwanamke anagundua kuwa na mimba akipitisha mwezi 1 au 2hii ni mara ya pili tuna do.
siku nyingine usituletee ujinga kama huu, ndo nyie mnaosababisha maambukizi ya ukimwi yawe juu, nenda kapime ngoma ili uongeze idadi ya wanaotumie ARVHabari za wakati huu wakuu wangu!ebana wiki iliyopita nilitoka na dame mmoja hvi,asa kutokana na mazingra niliyokutana na huyo gal,iliniwia ngumu kukumbuka suala la zana {condom},coz nilimtembelea rum kwao na bahat nzur alikua mwenyewe,so me nkaona nijisevie fasta fasta kabla ya wenzake hawajaja..asa leo kanitumia ujumbe eti anahis amenasa mimba,me nkajua anatania,bt amesisitza kwamba ni kweli ana mimba na lazima itakua ni yangu.sasa wakuu najiuliza,hvi mwanamke anaweza kuhis ana mimba within a week au ndo anataka kunishikisha?
Km ni mara ya pili,
Umeshahesabu ukajua ni siku ngapi sasa tangu mlipopeana kwa mara ya kwanza?
Ukishajua na km ni zaidi ya siku kumi,baba huo mzigo ni wa kwako wala usikimbie majukumu!!!
Habari yako Big shem,:A S tongue::bump:
Habari yako Big shem,
Ongea na senetor umpe ma experience asije akakimbia mwanae naona anahesabu mara ya pili ya kwanza kasahau!
Pole ya nini? wakati anatakiwa kupewa hongera .........pole kijana mleta mada. Ntakutumia list ya maduka bomba ya nguo na toys za infants. Ila kwa kipindi hiki usiongeze mwingine. Till then ...