Hivi inawezekana ana ujauzito wangu kweli au ananizingua tu?

Hivi inawezekana ana ujauzito wangu kweli au ananizingua tu?

Naomba huyo mtoto utakaye mpata umpe jina la Zuma rais wasasa wa afrika kusini
 
...pole kijana mleta mada. Ntakutumia list ya maduka bomba ya nguo na toys za infants. Ila kwa kipindi hiki usiongeze mwingine. Till then ...
 
Habari za wakati huu wakuu wangu!ebana wiki iliyopita nilitoka na dame mmoja hvi,asa kutokana na mazingra niliyokutana na huyo gal,iliniwia ngumu kukumbuka suala la zana {condom},coz nilimtembelea rum kwao na bahat nzur alikua mwenyewe,so me nkaona nijisevie fasta fasta kabla ya wenzake hawajaja..asa leo kanitumia ujumbe eti anahis amenasa mimba,me nkajua anatania,bt amesisitza kwamba ni kweli ana mimba na lazima itakua ni yangu.sasa wakuu najiuliza,hvi mwanamke anaweza kuhis ana mimba within a week au ndo anataka kunishikisha?

Kikawaida mimba huonekana baada ya siku 14, yaani wiki mbili, ILA mwanamke anaweza kuanza kuhisi dalili za mimba kabla ya hizo wiki mbili. Ushauri wa bure, go and have a test hospitalini kabla ya wiki mbili, lazima mimba haitaonekana. After two or three week nendeni mkapime tena ikionekana basi zigo lako hilo!
 
hii ni mara ya pili tuna do.

Km ni mara ya pili,
Umeshahesabu ukajua ni siku ngapi sasa tangu mlipopeana kwa mara ya kwanza?
Ukishajua na km ni zaidi ya siku kumi,baba huo mzigo ni wa kwako wala usikimbie majukumu!!!
 
hii ni mara ya pili tuna do.
sasa kama ni mara ya pili, unashangaa nn? labda kama iliingia mara mlipo do mara ya kwanza ila kama ni hiyo mara ya mwisho, hapo unaibiwa. mwanamke anagundua kuwa na mimba akipitisha mwezi 1 au 2
 
Habari za wakati huu wakuu wangu!ebana wiki iliyopita nilitoka na dame mmoja hvi,asa kutokana na mazingra niliyokutana na huyo gal,iliniwia ngumu kukumbuka suala la zana {condom},coz nilimtembelea rum kwao na bahat nzur alikua mwenyewe,so me nkaona nijisevie fasta fasta kabla ya wenzake hawajaja..asa leo kanitumia ujumbe eti anahis amenasa mimba,me nkajua anatania,bt amesisitza kwamba ni kweli ana mimba na lazima itakua ni yangu.sasa wakuu najiuliza,hvi mwanamke anaweza kuhis ana mimba within a week au ndo anataka kunishikisha?
siku nyingine usituletee ujinga kama huu, ndo nyie mnaosababisha maambukizi ya ukimwi yawe juu, nenda kapime ngoma ili uongeze idadi ya wanaotumie ARV
 
Km ni mara ya pili,
Umeshahesabu ukajua ni siku ngapi sasa tangu mlipopeana kwa mara ya kwanza?
Ukishajua na km ni zaidi ya siku kumi,baba huo mzigo ni wa kwako wala usikimbie majukumu!!!

:A S tongue::bump:
 
Hii kali within one week sio rahisi mtu kugundua ana mimba,from two weeks inawezekana!
Solution:nendeni mkapime
 
labda anakutest aone kama uko serious naeee.. we mchukue kiupooole hadi hosp then kampime (uwe makini doc akwambie ina muda gani)
UKISHACONFIRM NJOO HAPA JUKWAANI TUKUCHAGULIE JINA LA MTOTO
 
Habari yako Big shem,
Ongea na senetor umpe ma experience asije akakimbia mwanae naona anahesabu mara ya pili ya kwanza kasahau!

hahahaha mi sina maexperience bana.....nikutafute lini twende Mpwapwa kwa cousin wangu? Kuna mtu analeta mahari inabidi arudi home kwanza. LOL
 
...pole kijana mleta mada. Ntakutumia list ya maduka bomba ya nguo na toys za infants. Ila kwa kipindi hiki usiongeze mwingine. Till then ...
Pole ya nini? wakati anatakiwa kupewa hongera ......
MAPROSOO.
 
Unashangaa kupiga mpira golini halafu ukafunga?? ulitegemea nini sasa??
 
Back
Top Bottom