Hivi inawezekana kabisa kuachana na Social media?

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Habari za usiku huu,

Nauliza hivi Inawezekana kweli kwa Kijana kama mimi( Mr.Kiokotee) kwa huu Utandawazi nikaishi kama nipo kolomije huko bila kutumia mtandao wowote wa Kijamii yaani nitumie Simu ya kitochi tuu kupiga na kupokea baasi.

Kwa mbinu gani hili litawezekana?
 
Kuwezekana au kutowezekana anajua mhusika.

Ila mitandao ya kijamii inakupa mtumiaji ulichofuata au kutafuta.

Kuna watu wanapata vipato, elimu, habari, fursa, n.k. kupitia hiyo mitandao.

Kwahiyo ukiona mitandao ya kijamii ina shida, kua ni wewe mwenyewe ndio una shida.
 
Nimeacha kutumia Twitter, Facebook, Instagram, Whatsapp, Imo, Badoo, tangu 2013, inamaana kipindi chote hicho nilikuwa natumia Google, YouTube, Whatsapp, na Goal.Com kwaajili ya soka tu.

2017 July ndipo nilipoongeza JF na hadi sasa hunikuti Twitter, Facebook, Instagram, Imo, Badoo, zaidi ya WhatsApp, Google, YouTube, JF na Goal.com tu.

NB:

Mwaka 2013 ndiyo mwaka nilipoacha kuangalia video za X, kupiga punyeto na kununua Malaya.

WAFILIPI 4:13

"Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu."
 
Hongera sana bro,Nadhani hata kipato kimeongezeka.
 
Ninavyokujua yaani uache kumfuatilia Mange Kimambi.

Aweeee
 
Habari za usiku huu,

Nauliza hivi Inawezekana kweli kwa Kijana kama mimi( Mr.Kiokotee) kwa huu Utandawazi nikaishi kama nipo kolomije huko bila kutumia mtandao wowote wa Kijamii yaani nitumie Simu ya kitochi tuu kupiga na kupokea baasi.

Kwa mbinu gani hili litawezekana?
Inategemea unataka mtandao ukufanyie nn.
Huwezi nunua scania na una malengo ya gari ya kwenda kazn tuu.
Tumia kwa malengo kama huko ni kupiga umbea achana nao.
Ninaingia Twitter ...jf ..na wa
 
Nimeacha kutumia Twitter, Facebook, Instagram, Whatsapp, Imo, Badoo, tangu 2013, inamaana kipindi chote hicho nilikuwa natumia Google, YouTube, Whatsapp, na Goal.Com kwaajili ya soka tu.

2017 July ndipo nilipoongeza JF na hadi sasa hunikuti Twitter, Facebook, Instagram, Imo, Badoo, zaidi ya WhatsApp, Google, YouTube, JF na Goal.com tu.

NB:

Mwaka 2013 ndiyo mwaka nilipoacha kuangalia video za X, kupiga punyeto na kununua Malaya.

WAFILIPI 4:13

"Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu."
Kumbe na mimi nnaweza kuacha kupiga Master[emoji41]
 
Hehe mimi natamani sana kutokuwepo Whatsapp ila ndio hivyo sehemu ya biashara yangu. Ila nimejitahidi sana kutotumia for personal use.

Instagram pia nafurahi I don't use it at all kwa personal use. Ila nikiingia kwa business ndio hivyo tena mwanzo wa kucheki explore na kupoteza muda humo
 
Back
Top Bottom