May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Kwa wale Wajuzi wa mambo ya urembo naomba kujua kama hilo linawezekana kwani nina rafiki yangu Mdada, ni mrembo na ana chale mbili ndogo kwenye mashavu yake.
Bado sijamuuliza kama zinamkera ila ningetaka kwanza kujua kama kuna uwezekano wa kuzifuta ili atakaposema hazipendi basi niwe kwenye nafasi ya kumshauri nini cha kufanya.