Asiondoe mbona fresh tu uso safi kabisa kitu natural midomo inavutia nk. usije anza ondoa chale ukampotezea ubora wake. kubaliana na hali ishi naeKwa wale Wajuzi wa mambo ya urembo naomba kujua kama hilo linawezekana kwani nina rafiki yangu Mdada, ni mrembo na ana chale mbili ndogo kwenye mashavu yake.
Bado sijamuuliza kama zinamkera ila ningetaka kwanza kujua kama kuna uwezekano wa kuzifuta ili atakaposema hazipendi basi niwe kwenye nafasi ya kumshauri nini cha kufanya.
View attachment 1440291
Mimi sizipendi, na nikimuuliza kuhusu hizo chale bila kuwa na ushauri wa kufanya nini, naweza kumuumiza moyoni maana atajua moja kwa moja kuwa sizipendi hizo chale/alama.Una kiherehere kaka
Kumbe hujui Kama Hazipendi Au Anazipenda, we unakuja kuuliza jinsi ya kutoa Chale haaa [emoji38][emoji38][emoji38]
I'm on that good kush and alcohol
Hiyo ni anuani hakuna haja ya kuindoa. Nafikiri ya huyo mdada ni P.O.BOX 111 MtwaraKwa wale Wajuzi wa mambo ya urembo naomba kujua kama hilo linawezekana kwani nina rafiki yangu Mdada, ni mrembo na ana chale mbili ndogo kwenye mashavu yake.
Bado sijamuuliza kama zinamkera ila ningetaka kwanza kujua kama kuna uwezekano wa kuzifuta ili atakaposema hazipendi basi niwe kwenye nafasi ya kumshauri nini cha kufanya.
View attachment 1440291
😅😅😅😅🙌utawatafuna sana.Sina haja na mada acha nimdadavue muhusika.
Mtoto mkali sana.afu katuliza macho wala ayakwapuikwapui.pure black beauty.
toto kapangika jicho limekaa mahala pake,lips zimekaa vizuri na ushungi wake amezidi kunipa utulivu wa akili nafsi na mwili.
Wale wanawake wa peponi kumbe ata hapa tanzania wapo.
nampatia mkopo wa pumzi na afya njema yeye na familia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Ntwara hiyo, ni Mang'ati wa Arusha/Manyara.Hiyo ni anuani hakuna haja ya kuindoa. Nafikiri ya huyo mdada ni P.O.BOX 111 Mtwara
Sent using Jamii Forums mobile app