Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?

Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?

Na mimi nina swali, huko mtaani umeshindwa kupata? Shida ni nini?
 
Ukiingia kwa nia ya kutafuta mchumba hupati… wewe tafuta rafiki ukishamzoea miezi 3 ndio ingia na hiyo hoja mkae kwenye mahusiano mwaka 1 kisha funga ndoa

Inawezekana
 
Back
Top Bottom