Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

Kuna kilaza anaweza kujitafutia?
 
Utakua umesoma huko

Mm nilivyopata tu Div I Advance, moja kwa moja niliondokana na aibu ya kusoma vyuo aina ya Open University
 
Kuna kilaza anaweza kujitafutia?

Kuna jamaa angu yuko hapo open,huwa simwelewi, yani yeye toka alivyojoin kazi yake ni kulewa tu huku anawalipa jamaa flani hivi wamfanyie assignments zake.huwa napata mashaka sana na wahitimu wa hapo open.
Ila pia tukubaliane hakuna mtu mwenye grades nzuri utamkuta anasoma open asee.
 
Tena degree ya kwanza haiwezekani

Labda masters
 
Unafikiri Div 1 ni mchezo? Ungepata One usingekua mwalimu
Umejuaje kama Mimi ni mwalimu

Kama sio kutumia hisia zako zisizo ma uhalisia.

Nimesoma shule kongwe za hii zote katika level za upili wa chini na upili wa juu.

Na Nina matokea Bomba.

Nilishakuambia wewe ni mpuuzi.

Baada ya hii comment uniqoute.

Sababu wewe ni takataka[emoji706][emoji706][emoji706]
 
acha kukalilil vitu chuo cha vilaza kivipi sasa
 
Ahsante kawa ushauri kiongozi ,
Ngoja lifanyiwe kazi
 
Utakua umesoma huko

Mm nilivyopata tu Div I Advance, moja kwa moja niliondokana na aibu ya kusoma vyuo aina ya Open University
Rais wako Samia suluhu alisoma hapo open university,leo anawaongoza nyie wote na div 1 zenu na GPA zenuπŸ˜†πŸ˜†

Chuo asome hadi Rais wa nchi wewe kanyaboya hata ubalozi wa nyumba kumi hujawahi shika useme cha aibu?πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ina maana wewe una akili sana kushinda akina lukuvi,Aweso?na wengineo
 
Elimu ya sasa hivi haitaji ukubwa wa chuo bali ni kujiongeza kwa mwanafunzi mwenyewe hivyo mtu anayezungumzia ukubwa wa chuo bado hana maarifa kichwani.
 
Sasa anatofauti gani na hao mabinti wanaotoa mbumbusa Kati vyuo vingine kwa ma lectures ili wapatiwe marks ktk mitihani yao?
 
Unabisha nini sasa? Au nimepiga kwenye mshono?
 
Elewa kwanza mada, hata hivyo kigezo cha kuwa raisi ni degree yoyote hata kama ulisoma Teku au Sekomu sijui.

Ila katafute kigezo Cha kuwa Assistant Lecturer UDSM, ndio utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…