Laymann's argument mkuu, samahan ivi una level gani ya elimuKwani harmorapa hatambuliki na COSOTA?? Je ni mwanamuziki mzuri?
Ahaha ulisoma chuo gani na course ganUtakua umesoma huko
Mm nilivyopata tu Div I Advance, moja kwa moja niliondokana na aibu ya kusoma vyuo aina ya Open University
Hao ni mafala tu.Huku mtaani wanafanyiwa assignment na mitihani, wanalipa Hela, hiyo ni tuition centre
Ni tawai la udsm sio muhas..point of correction.Labda zamani ulikuwa ukipata dvn 1 ulikuwa huwezi kusomea ualimu ila miaka ya hivi karibuni kupata dvn 1 sio dili tena ani sio swala kabisa kuna watu wanapata dvn 3 wako SUA UDOM MUST wanasoma faculty tofauti na ualimu na kuna watu wana dvn 1 wanasoma education ni just maamuzi
Ukizingatia miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko LA vyuo vikuu mfano mzuri ni medicine zamani ilikuwa hatari bila One ya 6 hutoboi vyuo vya serikali na vyuo vya serikali vina competition kubwa sio kwa sababu vinatoa pure graduates watu wanakimbilia huko kwa sababu ya ada
Ila Siku hizi one ya 9 unaomba pale UDOM au tawi la MUHAS pale mbeya unapata
Mkuu.. mi mwaka wangu naingia UDSM kuna mpaka watu walikuaa na one za 5 walikuwa wanachukua Bachelor of Education... tena sio mmoja.Narudia tena, hakuna aliyepata DIV I Advance akaenda kusoma ualimu. HAKUNA
Narudia tena, hakuna aliyepata DIV I Advance akaenda kusoma ualimu. HAKUNA
Mimi nilikuwa nataka nikasome open mbona unanikatisha tamaa mapema hiviOpen University ni chuo cha vilaza. Kusoma hapo tu undergraduate inaonyesha hali aliyo nayo kichwani. Kati ya vyuo ulivyotaka hakuna hata kimoja ataweza kufundisha.
Namshauri Masters asome katika moja ya hivyo vyuo alafu apate GPA kubwa(4.4 na kuendelea) Kama hiyo aliyopata hapo Open. Vinginevyo mwambie atulize mbwanga
Huu ni ujinga na umangimeza na ujinga uliopitiliza.Open University ni chuo cha vilaza. Kusoma hapo tu undergraduate inaonyesha hali aliyo nayo kichwani. Kati ya vyuo ulivyotaka hakuna hata kimoja ataweza kufundisha.
mkuu.. achana na huyo jamaa bana facts zozoteMimi nilikuwa nataka nikasome open mbona unanikatisha tamaa mapema hivi
Jamaa anaona siku hizi division one na two ni Dili sana.Labda zamani ulikuwa ukipata dvn 1 ulikuwa huwezi kusomea ualimu ila miaka ya hivi karibuni kupata dvn 1 sio dili tena ani sio swala kabisa kuna watu wanapata dvn 3 wako SUA UDOM MUST wanasoma faculty tofauti na ualimu na kuna watu wana dvn 1 wanasoma education ni just maamuzi
Ukizingatia miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko LA vyuo vikuu mfano mzuri ni medicine zamani ilikuwa hatari bila One ya 6 hutoboi vyuo vya serikali na vyuo vya serikali vina competition kubwa sio kwa sababu vinatoa pure graduates watu wanakimbilia huko kwa sababu ya ada
Ila Siku hizi one ya 9 unaomba pale UDOM au tawi la MUHAS pale mbeya unapata
Achana nae kapige bukuMimi nilikuwa nataka nikasome open mbona unanikatisha tamaa mapema hivi