Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

Labda zamani ulikuwa ukipata dvn 1 ulikuwa huwezi kusomea ualimu ila miaka ya hivi karibuni kupata dvn 1 sio dili tena ani sio swala kabisa kuna watu wanapata dvn 3 wako SUA UDOM MUST wanasoma faculty tofauti na ualimu na kuna watu wana dvn 1 wanasoma education ni just maamuzi

Ukizingatia miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko LA vyuo vikuu mfano mzuri ni medicine zamani ilikuwa hatari bila One ya 6 hutoboi vyuo vya serikali na vyuo vya serikali vina competition kubwa sio kwa sababu vinatoa pure graduates watu wanakimbilia huko kwa sababu ya ada

Ila Siku hizi one ya 9 unaomba pale UDOM au tawi la MUHAS pale mbeya unapata
Ni tawai la udsm sio muhas..point of correction.

#MaendeleoHayanaChama
 
Narudia tena, hakuna aliyepata DIV I Advance akaenda kusoma ualimu. HAKUNA
Mkuu.. mi mwaka wangu naingia UDSM kuna mpaka watu walikuaa na one za 5 walikuwa wanachukua Bachelor of Education... tena sio mmoja.

Halafu kuhusiana na issue ya ubora wa Open University.. naweza kukuambia kwa sasa ni moja ya chuo ambacho kina ubora ambao ni karibu sawa ama kupita hata vyuo vyenye majina..

Kwa level ya post graduates, Masters za open zina ubora ambao ni zaidi ya vyuo kama Mzumbe na IFM...

Sema ambacho kinazuzua wengi ni kwa sababu tu ukiskia mtu unasoma online.. ila nikuhakikishie tu kwamba quality ya elimu pale ni kubwa...

Halafu cha mwisho, Open University ipo rank ya juu sana kwenye ubora wa vyuo vikuu duniani. Itakuwa labda hujakitafiti vyema hiki chuo coz tayar una nagative sentiment.

Naandika hapa nikiwa kama mmoja wa wanafunzi wa open level ya masters.

Bachelor yangu niliipata UDSM
 
Narudia tena, hakuna aliyepata DIV I Advance akaenda kusoma ualimu. HAKUNA

Wapo. Udsm kozi za educations za masomo ya Arts huwa zinachukua div 1 tupu. Mfano pale Duce ni div 1 tupu. Ukitoa walimu wanaosomea masomo ya science
 
Kupitia nyuzi kama hizi unagundua kwamba watanzania wengi bado wana arrogance fulani hivi kwamba chuo ni Udsm tu.

Naongea hivi nikiwa graduate wa UDSM na Open University..

Kuna watu wana elimu ya open digrii na masters wanakula maisha kwenye UN organisation mshahara ambao wewe unaweza mpaka kustaafu usiupate.

Ule utamaduni kwamba jina la chuo litakubeba kwenye ajira umepitwa na wakati... sasa hivi ni wewe na akili.. Ukija kwenye interview mi sitakuwa interested kama umesoma Udsm digrii na masters.. ntataka kujua unajua nini.. Maana jina la chuo halifanyi kazi..

So acheni kabisa hii arogance ya namna hii..
 
Open University ni chuo cha vilaza. Kusoma hapo tu undergraduate inaonyesha hali aliyo nayo kichwani. Kati ya vyuo ulivyotaka hakuna hata kimoja ataweza kufundisha.

Namshauri Masters asome katika moja ya hivyo vyuo alafu apate GPA kubwa(4.4 na kuendelea) Kama hiyo aliyopata hapo Open. Vinginevyo mwambie atulize mbwanga
Mimi nilikuwa nataka nikasome open mbona unanikatisha tamaa mapema hivi
 
Open University ni chuo cha vilaza. Kusoma hapo tu undergraduate inaonyesha hali aliyo nayo kichwani. Kati ya vyuo ulivyotaka hakuna hata kimoja ataweza kufundisha.
Huu ni ujinga na umangimeza na ujinga uliopitiliza.

Are you sure Open University ni chuo cha vilaza ? Au umekurupuka tu huko na ujinga wako kichwani unakuja kutuandikia hapa ?
 
Open juu juu zaidi[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Destination to be ngoja nitafute mpunga!!
 
Labda zamani ulikuwa ukipata dvn 1 ulikuwa huwezi kusomea ualimu ila miaka ya hivi karibuni kupata dvn 1 sio dili tena ani sio swala kabisa kuna watu wanapata dvn 3 wako SUA UDOM MUST wanasoma faculty tofauti na ualimu na kuna watu wana dvn 1 wanasoma education ni just maamuzi

Ukizingatia miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko LA vyuo vikuu mfano mzuri ni medicine zamani ilikuwa hatari bila One ya 6 hutoboi vyuo vya serikali na vyuo vya serikali vina competition kubwa sio kwa sababu vinatoa pure graduates watu wanakimbilia huko kwa sababu ya ada

Ila Siku hizi one ya 9 unaomba pale UDOM au tawi la MUHAS pale mbeya unapata
Jamaa anaona siku hizi division one na two ni Dili sana.

Watu Wana division one wanasoma teofil kisanji huko.

Sijui Stella nani huko.

Siku hizi Division one ni kama machungwa ya muheza Kila mtu anaweza yala.
 
Back
Top Bottom