Ukiwa umekunywa rangi ya bendera ya chama huwezi ishi na mwanamke chama tofauti...!labda uwe chamani kishabiki tu..hebu fikiria Tundu Lisu awe na mwanamke wa CCM inawezekanaje? Au Mdee awe na bwna wa CCM wap na wapi. Ila kama mshabiki wa chama kawaida inawezekana sana tu.