Hivi inawezekana kweli mkawa vyama tofauti na mpenzi wako na mkaelewana katika mapenzi?

Hivi inawezekana kweli mkawa vyama tofauti na mpenzi wako na mkaelewana katika mapenzi?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Jamani najaribu kuangalia hii kafulila style of love na mkewe
Joyce kishoaa najiuliza hivi kuna
Mapenzi ya kweli hapaa

Hebu fikiriaa mume yupo ccm
Ila mke yupo chadema lakini sasa
Mke anaipinga ccm ila mume
Amejiunga na ccm .

Ivi inawezekana Kweliii watu mkaelewana Mimi upande wangu
Siwezi kuelewana na mke wangu
Bora ndoa ivunjike
 
Inawezekana sana ila ni vizuri muwe chama kimoja
 
kama vyama ndo vinawakojolesha basi sawa
 
jeska mbanie k huyo mpumbavu .mwanaume mzima unakuwa huna misimamo. mara nccr mageuzi.mara chadema. mara ccm
 
Ukiwa umekunywa rangi ya bendera ya chama huwezi ishi na mwanamke chama tofauti...!labda uwe chamani kishabiki tu..hebu fikiria Tundu Lisu awe na mwanamke wa CCM inawezekanaje? Au Mdee awe na bwna wa CCM wap na wapi. Ila kama mshabiki wa chama kawaida inawezekana sana tu.
 
Mnaweza mkawa,rangi,umri,kabila,dini na akili tofauti na mkapendana miaka mia!
 
Back
Top Bottom