kingazi
Member
- Jul 4, 2011
- 35
- 7
kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku moja waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa anaumia, mkewe akamuomba ndugu yangu huyo wakapime dna kama anamashaka maana mke alimuona mumewe japo hasemi ila anaumia mno walivyo kwenda kupima vipimo vinaonyesha mtoto ni wa ndugu yangu sasa bado najiuliza hivi iawezekana vipi ikiwa sisi wenyewe ktk kizazi che2 hakukua na mzungu na wala familia yao pia maana tunaifahamu.