Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Yani.

Uko On point kila mahala.

School fees

Family and relatives support

Daily chores..domestics upo.

On Bed even better..

Yani you are perfect.

Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
 
Yani..
Uko On point kila mahala...
School fees
Family and relatives support
Daily chores..domestics upo..
On Bed even better..

Yani you are perfect.

Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
Kuna blaza wangu mmoja hivi ana pisi nyingine ya nje kali tu na anaihudumia na mkewe anajua sema ndo vile tu anamuaminia mwamba kwahiyo wanaishi kihivyo tu
 
Hakikisha huyo wa nje ni pisi kali kuliko mkeo, hakika wanawake wakiona unatoka na mzuri zaidi yake lazima awe mpole lkn nyumbani uwe unafix kila kitu sio tena na ww ndo mjaza shimo la choo tuu.
Ok..
Una Hoja..

Afu wanaweza hata wakawa kikoba kimoko..
 
Back
Top Bottom