Hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana 'honey na babe' kweli?

Hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana 'honey na babe' kweli?

project planner

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2019
Posts
1,170
Reaction score
1,545
Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninaemjua kuwa ni anko wake. Kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli?

Nishaurini kabla kichwa changu hakijaamua maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
 
Elimu Yenye Nguvu Sasa Hivi Ni Ya Darasa La Saba
Umeona Msukuma Jimboni Anachonganisha Watu
Unataka Kuamua Nini?? Wewe Mwenyewe Umeshawekwa Reserve Hapo
 
Back
Top Bottom