Hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana 'honey na babe' kweli?

Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninae mjua kuwa ni anko wake kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli nishaurini kabla kichwa changu hakijaamuwa maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
Mzee Mimi Niko na rafiki anguu since college tunaitana babe, mpenzi, sweetheart, laaziz na majina kibao na mpenzi wake alipata taabu sanaa kuzoea since Mimi Niko single all this time na yeyee akiitwa jina lakee tuu but now ameanza kuzoea tuu.
 
Huyo ni uncle wake kama alivyosema hata uwakute wapi na wakifanya nini, kama huamini muache.
 
Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninae mjua kuwa ni anko wake kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli nishaurini kabla kichwa changu hakijaamuwa maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
Tayari kashaliwa huyo we fanya tu maamuzi magumu.
 
Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninae mjua kuwa ni anko wake kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli nishaurini kabla kichwa changu hakijaamuwa maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
Huyo anamtafuna toka zamani
 
Back
Top Bottom