Hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana 'honey na babe' kweli?

Mzee Mimi Niko na rafiki anguu since college tunaitana babe, mpenzi, sweetheart, laaziz na majina kibao na mpenzi wake alipata taabu sanaa kuzoea since Mimi Niko single all this time na yeyee akiitwa jina lakee tuu but now ameanza kuzoea tuu.
 
Huyo ni uncle wake kama alivyosema hata uwakute wapi na wakifanya nini, kama huamini muache.
 
Tayari kashaliwa huyo we fanya tu maamuzi magumu.
 
Huyo anamtafuna toka zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…