Hivi inawezekana mwanamke akakonda kisa tendo la ndoa

The Infamous

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Posts
731
Reaction score
121
Napata tabu kidogo, nasikia wanasema mkeo anakonda yawezekana tendo la ndoa halijamkubali, au manii yako hayajamkubali ndio maana anakonda, yangemkubali ungenenepa balaa. kisayansi hii kitu inaukweli kwa kiwango gani?
 
napata tabu kidogo, nasikia wanasema mkeo anakonda yawezekana tendo la ndo halijamkubali...au manii yako hayajamkubali ndio maana anakonda, yangemkubali ungenenepa balaa. kisayansi hii kitu inaukweli kwa kiwango gani?

sijuhi kama ina ukweli wake.ila dawa za uzazi wa mpango ndo zinaweza sababisha kunenepa sana au kukonda sana
 
Mkeo anatumia dawa za uzazi wa mpango?, nitajie urefu wake na uzito wake tuone kama kweli kakonda au la, na je kwanini unadhani kunenepa ndiyo afya?
 
mkeo anatumia dawa za uzazi wa mpango?, nitajie urefu wake na uzito wake tuone kama kweli kakonda au la, na je kwanini unadhani kunenepa ndiyo afya?


urefu futi 4.5 uzito 55... Pia sidhani kama kunenepa ndio afya, bali mwenyewe alileta hii hoja ya kupungua huenda tendo la ndoa limemkataa.
 
urefu futi 4.5 uzito 55... Pia sidhani kama kunenepa ndio afya, bali mwenyewe alileta hii hoja ya kupungua huenda tendo la ndoa limemkataa.

kwa urefu /ufupi huo hizo ndio kilo zake stahiki relax man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…