Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Habari wana jukwaa pendwa kabisa wa MMU sasa naenda moja kwa moja kwenye point ya msingi Mimi ni kijana wa miaka ishirini but kimwonekano ni mfupi kiasi lakini kila nikijaribu kumtokea mwanamke naishia kuambiwa "thanks kwa kuninipenda" ila sina feelings na wewe mpaka nimeamua kuishi single tu for life sababu hawa wanawake pasua kichwa sana sasa naamini humu wapo waliopitia hali kama Mimi nayopitia tupeane uzoefu walitumia techniques gani mpaka kusahau habari za opposite sex yaan hawa wana wake.