Hivi inawezekana mwanaume kuishi single milele?

Hivi inawezekana mwanaume kuishi single milele?

Dawa ya penzi ni pesa.
Hutapata shidaa.wana kuona mlala hoi.hata elfu kumi ya kutolea gundu hunaa?
 
Habari wana jukwaa pendwa kabisa wa MMU sasa naenda moja kwa moja kwenye point ya msingi Mimi ni kijana wa miaka ishirini but kimwonekano ni mfupi kiasi lakini kila nikijaribu kumtokea mwanamke naishia kuambiwa "thanks kwa kuninipenda" ila sina feelings na wewe mpaka nimeamua kuishi single tu for life sababu hawa wanawake pasua kichwa sana sasa naamini humu wapo waliopitia hali kama Mimi nayopitia tupeane uzoefu walitumia techniques gani mpaka kusahau habari za opposite sex yaan hawa wana wake.
Yes
 
Back
Top Bottom