Tunazungumzia Tanzania yetu samahani lakiniIan Khama ni rais wa Botswana hana MKE hadi sasa!
Ok,chukulia rais ni mkristo;akaingia ikulu na mke na huyu 1st lady kaugua na kuwa kilema labda wa akili au paralysis(Parkinson disease)
Je,itampasa kuoa mwingine kinyume na mafundisho ya dini yake??????
Ndugu nilimaanisha kuwa kwa mtu aliyezaliwa akiwa hawezi kumwingilia mwanamke lakini pia si shoga; maana watu wa aina hii wapo. Kiukweli watu wa aina hii hawawezi oa maana hawataweza wahudumia wake zao. Hawana haki ya kuwa Rais?Nyie ndio wale wazee wa jinsia moja naona ndio unakoelekea
waonaje akikuoa wewe ili uwe first lady wetu?Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
waonaje akikuoa wewe ili uwe first lady wetu?
wewe mmeshaachana?
mimi ni mwanaume, wewe bila kuuliza nimejua jinsia yako ya kikewewe mmeshaachana?
au wewe ndo unataka kuolewa?ha ha umemuweza
Nafikiri ni hatari zaidi kuwa na Raisi mzinzi, anaweza kuuza nchi.
Watu wanachofanya chumbani havina uhusiano wowote na wanachofanya kazini.
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
najua mrembo wewe unataka uolewe na dr, hahaha, nenda kajirembe zaidi labda utaonekana..Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
Ndugu nilimaanisha kuwa kwa mtu aliyezaliwa akiwa hawezi kumwingilia mwanamke lakini pia si shoga; maana watu wa aina hii wapo. Kiukweli watu wa aina hii hawawezi oa maana hawataweza wahudumia wake zao. Hawana haki ya kuwa Rais?
we bila shaka hujaoa/olewa