Hivi inawezekana rais bachelor kukaa ikulu?

Ok,chukulia rais ni mkristo;akaingia ikulu na mke na huyu 1st lady kaugua na kuwa kilema labda wa akili au paralysis(Parkinson disease)
Je,itampasa kuoa mwingine kinyume na mafundisho ya dini yake??????
 
Rais asiye na mke ni rais muhuni ataliaibisha taifa
 
Ok,chukulia rais ni mkristo;akaingia ikulu na mke na huyu 1st lady kaugua na kuwa kilema labda wa akili au paralysis(Parkinson disease)
Je,itampasa kuoa mwingine kinyume na mafundisho ya dini yake??????

kwani first lady akiugua anapoteza sifa ya kuwa mke wa rais?
 
Nyie ndio wale wazee wa jinsia moja naona ndio unakoelekea
Ndugu nilimaanisha kuwa kwa mtu aliyezaliwa akiwa hawezi kumwingilia mwanamke lakini pia si shoga; maana watu wa aina hii wapo. Kiukweli watu wa aina hii hawawezi oa maana hawataweza wahudumia wake zao. Hawana haki ya kuwa Rais?
 
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
waonaje akikuoa wewe ili uwe first lady wetu?
 
Watu wanachofanya chumbani havina uhusiano wowote na wanachofanya kazini.
 
Hata mimi nafikiri raisi wa inch kutokuwa na mke au mme sisi haitusaidii kitu.sana sana kutokuwa na mwenzi ni kulipunguzia Taifa hasara ya msafara mwingine.sisi tunataka utendaji wake.hata katiba ya inch hakuna kifungu kinachema raisi wa inch lazima.awe anamke au mme.
 
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?

Hivi Mwinyi alikuwa na wake wangapi? Na huyu tuliye naye ana wake wangapi? Je, hawa ni mfano wa viongozi bora?
 
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
najua mrembo wewe unataka uolewe na dr, hahaha, nenda kajirembe zaidi labda utaonekana..
 
Attachments

  • mrembo.jpg
    mrembo.jpg
    13.9 KB · Views: 86
Ndugu nilimaanisha kuwa kwa mtu aliyezaliwa akiwa hawezi kumwingilia mwanamke lakini pia si shoga; maana watu wa aina hii wapo. Kiukweli watu wa aina hii hawawezi oa maana hawataweza wahudumia wake zao. Hawana haki ya kuwa Rais?

Kamuulize Kaguta Museveni
 
Back
Top Bottom