Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
- Thread starter
-
- #61
Hivi Mwinyi alikuwa na wake wangapi? Na huyu tuliye naye ana wake wangapi? Je, hawa ni mfano wa viongozi bora?
Mbona tunaongopeana? Mkapa alikuwa na mama Mkapa bwana. Mbona Mkapa alikuwa na watoto wakubwa tu kabla ya kuingia madaraka?
sheria ya dini yao inaruhusu, ingekuwa kwa mkapa na nyerere sawa
Lowasa ana mke mzuri tu tena
wa ndoa kwa hiyo kwa sasa hakuna wasiwasi swali lako liweke utauliza
mwaka 2020 au 2025.
hapo chachaHivi Mwinyi alikuwa na
wake wangapi? Na huyu tuliye naye ana wake wangapi? Je, hawa ni mfano wa
viongozi bora?
Na Botswana ndiyo nchi inayoongoza kwa utawala bora Afrika.Ian Khama ni rais wa Botswana hana MKE hadi sasa!
Na Botswana ndiyo nchi inayoongoza kwa utawala bora Afrika.
ndio maana wakatoliki wanataka padre lazima awe rijali.., kuna matatizo makubwa sana kuwa na kiongozi aina hiyo.., muangalie mtikila.. ndio utanielewa..,Ndugu nilimaanisha kuwa kwa mtu aliyezaliwa akiwa hawezi kumwingilia mwanamke lakini pia si shoga; maana watu wa aina hii wapo. Kiukweli watu wa aina hii hawawezi oa maana hawataweza wahudumia wake zao. Hawana haki ya kuwa Rais?
Mbowe hawezi kugombea uraisi sababu katiba mpya itataka mgombea uraisi angalau aweze kuwa na degree sasa mbowe na form four yake ataenda wapi hata ubunge hataweza kwenda,kingine slaa nae hawezi kuwa mgombea sababu hana mke,labda mabele marando
Nyie ndio wale wazee wa jinsia moja naona ndio unakoelekea