Pole weeeh,kwann usimwamishie serengeti? Nawafaham watu kibao wanafanya kazi hifadhin na familia zao ziko town,kwani unamhisi mkeo anachakachua? Wewe huko je huchakachui?
Ciello sina mke ila nategemea kuoa japokuwa alafu mchumba mwenyewe bado hajapatikana
Tafuta mchumba then after ndoa waweza kwenda ishi naye ingawa mazingira ya mbuga hayako condusive kwa family ndomana wengi wanaacha family town,ila wanachakachua hao balaa.....
Mmmmmmh wooow
teh teh teh! Lawyer umenikubali eeh?
Ili tukupe jibu, kwa ratiba hiyo ya wewe kuwa mbali na mke unaweza kukaa bila kuchakachua?