Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Najaribu kuangalia matamko ya kuforce vitu yakina Mtaka na Makala! Najikuta nawaza hivi watanzania tungekuwaje kama Covid ingeanzia kwenye awamu ya 6? Tusingekuwa Lockdown kweli? Maana naona dizaini kama wanatuvizia tu wanatamani sana waweke mpaka lockdown wapate misaada huko ughaibuni.