#COVID19 Hivi ingekuwaje kama Corona ingeanzia kwenye Serikali ya Samia?

#COVID19 Hivi ingekuwaje kama Corona ingeanzia kwenye Serikali ya Samia?

Huku mafinga tutaendelea kulala na jiko la mkaa ndani
 
Najaribu kuangalia matamko ya kuforce vitu yakina Mtaka na Makala! Najikuta nawaza hivi watanzania tungekuwaje kama Covid ingeanzia kwenye awamu ya 6? Tusingekuwa Lockdown kweli? Maana naona dizaini kama wanatuvizia tu wanatamani sana waweke mpaka lockdown wapate misaada huko ughaibuni.
Misaada yenyewe sh ngapi sasa!?
Ni hasara kuweka lockdown wakati hauna hela. Wanaoweka lockdown wanatoa hadi fidia kwa wafanyabiashara ambao watasimamisha shughuli zao kwa kipindi hicho. Sisi ndo kwanza tumeweka TOZO.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom