#COVID19 Hivi ingekuwaje kama Corona ingeanzia kwenye Serikali ya Samia?

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Najaribu kuangalia matamko ya kuforce vitu yakina Mtaka na Makala! Najikuta nawaza hivi watanzania tungekuwaje kama Covid ingeanzia kwenye awamu ya 6? Tusingekuwa Lockdown kweli? Maana naona dizaini kama wanatuvizia tu wanatamani sana waweke mpaka lockdown wapate misaada huko ughaibuni.
 
Korona ndiyo imemfanya Samia amekuwa rais. So, suala la korona kuanzia kwenye utawala wake halipo duniani.

Swali jingine?
 
chaos kabisa yani ingekua worse saizi kila wakituvizia tunakwepa ha ha ha ha ha magufuli alikua na mabaya yake na mazuri yake
 
Ingemfyeka yeye kwanza
 
Korona ndiyo imemfanya Samia amekuwa rais. So, suala la korona kuanzia kwenye utawala wake halipo duniani.

Swali jingine?
.... wachache watakuelewa.
 
Tusingeona uhalisia wa corona kama ambavyo sasa watanzania tunavyoona uhalisia wa corona, tungeishi maisha ya tabu sana kwa hofu ya corona kuliko uhalisia wa hiyo corona yenyewe kitu ambacho Magufuli alikiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…