Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
- Thread starter
- #21
nimenukuu maneno ya Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Albert MsandoUlitaka walete ripoti kwako?
View: https://www.facebook.com/share/v/19cHp1gx4i/
nimenukuu maneno ya Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Albert MsandoUlitaka walete ripoti kwako?
nimenukuu maneno ya Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Albert Msando
View: https://www.facebook.com/share/v/19cHp1gx4i/
Mnakusanyika wapi ndio issueKama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida.
Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu.
Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio signatory wa akaunti yoyote ya kanisa.
Ana mali zipi...wewe ni mkewe ama hawara...Gwaji, ameanza kuishi maisha magumu sana, mali zote alizonazo they mean nothing
Usishangae haohao ndiyo wanampa habari za ndani na ndiyo waliomfichaKauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Story za vijiwen hizi, wala huitaj miujiza , unahitaji proper planningGwajima mwanga huwa anaruka na ungo usiku
Uliza ndugu zake wanamjua vizuri
Usiku ule atakuwa aliruka na ungo kutoka kanisani
Kuna kijana mmoja wa hapo kanisan kuna youtube kaelezea kilichotokea kabla Gwajima kuyeyuka ghafla wakiwa wpte lanisani mbele yao
Watajuajee...nakati ckuiz wana recruit ndugu tu . Hawaangaliaa vigezo. Zamani Mwalimu nyerere alikuwa anachukua vijana waliotoka shule za vipaji. Kama kibaha, tabora boys, mzumbe na kwengineko..vijana wako smart kichwani na darasani ndio maana tuliwasumbuaa sana wazungu ..wakati tunawakomboaa nchi nyinginee za Africa toka ukoroniKauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Kwani anatafutwa? Mmefungia mgodi wake kaamua kupumzika. Mnataka mjye alipo ili iweje?Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Kosa lake ni lipi? Tuanzie hapoGwaji, ameanza kuishi maisha magumu sana, mali zote alizonazo they mean nothing
Inawezekana piaduuuuuuh au kuna njia za chini kwa chini pale kanisani kwake ubungo?
Matusi ya nini? Ni logic tuAcha ukafiri..
Toka mda wote huo.mlikua wapi kufatilia
Mnaomwabudu Gwaji badala ya Mungu ndyo nyie ni pumbafu wake zake, "give to caesar what belongs to caesar"Ana mali zipi...wewe ni mkewe ama hawara...
Kwani Gwajima anatafutwa na Polisi(watekaji)?Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Nmeuliza swali jibu swali...wewe ni mke ama hawara? Hadi ujue Gwajima amepoteza mali ..na ni mali zipi hizo...Matusi ya nini? Ni logic tu
Mnaomwabudu Gwaji badala ya Mungu ndyo nyie ni pumbafu wake zake,
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Sidhani hadi anafanya hayo yote alikuwa hajui kitachotokea ila kosa lake lipi hapo? Ina maana utekaji haupo?Gwaji, ameanza kuishi maisha magumu sana, mali zote alizonazo they mean nothing
Kapewa hifadhi kwenye ubalozi wa nchi moja wahisani au wafadhili wa taifa lenu. 😆😆😆Eid mubarak
Kajificha au Kafichwa?
Mbona unajichanganya, kama hajafata taratibu za usajili ina maana hajasajiliwa sasa hicho kilichofutwa ni kitu gani?Yeye ndyo mmiliki na hajafata taratibu za usajili, malizieni hizo taratibu za msajili kwanza