Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

Hiyo intelejensia ilitakiwa kuwabaini watu wanaoteka watu na kuwachukulia hatua...
Na si kuangaika na gwajima
 
Mnakusanyika wapi ndio issue
 
Usishangae haohao ndiyo wanampa habari za ndani na ndiyo waliomficha
 

Story za vijiwen hizi, wala huitaj miujiza , unahitaji proper planning
 
Nani anamuhitaji? Kama mamlaka inamuhitaji mtanzania yeyote ndani ya nchi, it will take less than 4 hours anafikishwa mbele yake kwa kuzingatia miundombinu ya Barbara, reli, na viwanja vya ndege.
 
Watajuajee...nakati ckuiz wana recruit ndugu tu . Hawaangaliaa vigezo. Zamani Mwalimu nyerere alikuwa anachukua vijana waliotoka shule za vipaji. Kama kibaha, tabora boys, mzumbe na kwengineko..vijana wako smart kichwani na darasani ndio maana tuliwasumbuaa sana wazungu ..wakati tunawakomboaa nchi nyinginee za Africa toka ukoroni
 
Kwani anatafutwa? Mmefungia mgodi wake kaamua kupumzika. Mnataka mjye alipo ili iweje?
 
Kwani Gwajima anatafutwa na Polisi(watekaji)?
 
Matusi ya nini? Ni logic tu

Mnaomwabudu Gwaji badala ya Mungu ndyo nyie ni pumbafu wake zake,
Nmeuliza swali jibu swali...wewe ni mke ama hawara? Hadi ujue Gwajima amepoteza mali ..na ni mali zipi hizo...
 

Hawajampata kigogo miaka yote wataweza kumpata jima?πŸ˜›πŸ˜›
 
Yeye ndyo mmiliki na hajafata taratibu za usajili, malizieni hizo taratibu za msajili kwanza
Mbona unajichanganya, kama hajafata taratibu za usajili ina maana hajasajiliwa sasa hicho kilichofutwa ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…