Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

Ukute wamekwisha Mteka sema wameamua kuwa kimnya kwa namna hii.Kama kweli Gwayboy yupo sehemu salama aseme neno tusikie,Kama alivyokuwa akifanya Osama
 
Serikari haiwezi kushindwa kumpata Gwajima ila tu hawana shida nae. Mpango ulikuwa ni kufunga kanisa tu.
 
Role ya Gwajima ni kama Gazeti la uhuru!!

Samiah;-sitogombea Urais 2025!!!
Mama akajitokeza Kwamba"2025 wanawake watamchagua Raise wa kwanza mwanamke"!

Juzi Gwajima:-wanaohusika na utekaji sio jeshi la polis Bali kikundi Fulani ambacho sio jeshi la polisi na Wala jeshi halihusiki!!

Samiah:-msifanye Gwajimanization ya chama!

Gwajima:-ccm sio chama cha watekaji,anaeteka anateka kwasababu zake binafsi!

Bashungwa(Mteule was Rais);- fungia kanisa,polisi zingira kanisa Kwa silaha za moto na mabom juu!!

Gwajima haonekani kafichwa wapi!!?

Je ni sehem ya jeshi ambalo limetetewa kutohusika na utekaji wameamua kumficha asidhurike!!?au ni usalama wa taifa ndio wamemficha!!?

Gwajima hawezi jificha mwenyewe!!serikali ikikutaka itakupata tu!!

Nb;-

EU imezipa Ban ndege zote za TZ ,eti marubani hawana ueledi wa kiusalama!!

KAZI kwetu comrades !

KAZI na utu tunasonga mbelew!!
 
Mbona unajichanganya, kama hajafata taratibu za usajili ina maana hajasajiliwa sasa hicho kilichofutwa ni kitu gani?
Kanisa lenu la "ufufuo na uzima" limefutwa kwa sababu halijasajiliwa
 
Nmeuliza swali jibu swali...wewe ni mke ama hawara? Hadi ujue Gwajima amepoteza mali ..na ni mali zipi hizo...
Milaswali ya kichoko ya wafuasi wa Mungu Gwajima
 
Unazungumzia kupatikana kwa scofield Michael, Joram kiango, reddington, The jackal😆🤣🤣
Labda mleta FBI ila sio zipe fomu foo zenu.
 
Tuko busy na Gwaji boy
Umoja wa Ulaya umefunga anga lake kwa mashirika ya ndege yaliyosajiliwa Tanzania na Suriname. Ikimaanisha kuwa ndege yoyote iliyosajiliwa Tanzania haitaruhusiwa kutua, kuruka ama kupita juu la anga la Ulaya.

Umoja huo umesema kuna dosari katika usimamizi wa usalama wa safari za anga kwenye nchi hizo mbili.

Kamishna wa Uchukuzi wa EU amesema Tanzania inapaswa kuchukua hatua za haraka kurekebisha dosari hizo.
 
Kanisa lenu la "ufufuo na uzima" limefutwa kwa sababu halijasajiliwa
Limefutiwa usaji ambao haupo hivi unatumia kiungo gani kufikiri? Hivi ni lazima ukiwa mwanaccm ujitoe ufahamu?
 
Huyo mtu watakuwa tayari wamemteka na kumuua wakautupa mwili wake baharini.
 
Intelijensia yetu inajua kupambana na Lissu na Heche ila kwenye mabo uanauohitaji akili na taaluma hawawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…